Lugha: Kiswahili | Kiingereza | Kinorwei

Kituo cha mkutano cha Scripture Mission (NLM) kimejengwa katika eneo lao huko Karen Nairobi, eneo hilo lilinunuliwa mwaka 1978 kwa kusudi la kuanzisha shule ya jamii ya watoto wa Wamissionari. Kwa muda mrefu kusud lake kuu ni kwa kazi ya shule, zaidi ya watoto 76 walihudhuria na 42 kati yao walikuwa watoto wa bweni.

Kwa muda uliopita idadi ya Wamissionari ilizidi kupungua, na pamoja na hayo idadi ya watoto wanaolala bweni ilipungua pia ndani ya kituo, lakini bado tuna majengo, baadaye miaka ya 1990s moja alianza kufikiri njia ya kutumia majengo hayo.

Pamoja na upungufu wa wamissionari, idadi ya watalii kutoka Norway iliongezeka huko Kenya, zaidi watu walipendelea kuona kazi za Mission kwa macho yao wenyewe, Kituo cha Scripture Mission kilianzishwa mwaka 2000 kuwa nyumba ya wageni.

Kusudi la kituo hiki ni mahali pa watu wa desturi mbalimbali kukutana, kikundi kinaweza kulala, kula ,pia mahali pa mkutano, kuwa na changamoto katika huduma. Leo kituo kinauwezo wa kutunza wastani wa watu 35, ni sehemu muhimu kwa kazi ya Mission kwa Kenya na Tanzania.

Kituo cha Scripture si kama hoteli nyingine ambayo, unaweza kupata chakula na malazi, ni lazima iwe zaidi ya hizo, mpaka sasa vyuo vikuu vya Norway kama NLA na Gimlekollen wanawakilisha vikundi vya wageni. Pia inawezekana kwa vyama vya wenyeji vya Kikristo na wainjilisti kukutana hapa.

Booking: Tuma barua pepe kwa nlmear.smcc@nlm.no 
au piga simu kwa Conference centre manager: +254 720 276 359


Guesthouse yetu Nairobi ni kwa ajili ya wamissionari wa NLM na wenzao. Wengine wanaulizwa kutumia eneo nzuri za Scripture Mission Conference Centre (SMCC).

Kwa maulizo kuhusu guesthouse, tumia baruapepe kwa nlmear.nbguest@nlm.no

Langata Road
P.O. Box 24569
00502 Karen
Nairobi, Kenya
Barua pepe: nlmear@nlm.no

Scripture Mission Conference Centre (SMCC)
Conference Centre Manager: +254 728 961 984
E-mail: nlmear.smcc@nlm.no

Kristoffer Krohn Sævre - Mkurugenzi
Simu: +254 727 847 004
Barua pepe: nlmostafrika@nlm.no

Nicholas Ondari - SMEA Meneja mkuu
Simu: +254 722 544 972
Barua pepe: nlmear.genman@nlm.no